Chagua Ramani
← Ramani zote
Namba ya ramaniVV-1

Ramani ya nyumba ya vyumba vitatu VV-1

Vyumba 3 · Self · Baraza la nguzo

113.4 m² · vyoo 2

Self bedroom 1Single bedroom 2SebuleDiningJiko & StooChoo cha wageniUpana 12 m × urefu 12.3 m
Nyumba ya vyumba vitatu VV-1, mbele
Mbele
VV-1, mbele · kwa juu
Mbele · kwa juu
VV-1, upande
Upande
1 / 3

Kuhusu ramani ya VV-1

VV-1 ni ramani ya nyumba ya vyumba vitatu yenye eneo la 113.4 m², upana wa mita 12 na urefu wa mita 12.3. Mbele kuna baraza lenye nguzo linaloingia moja kwa moja sebuleni.

Ina chumba kimoja cha self (master) chenye kabati na bafu ndani, pamoja na vyumba viwili vya kawaida. Sebule ya 6.6 × 3.5 m inaungana na dining na jiko lenye stoo, na kuna choo cha wageni karibu na sebule. Korido ya nyuma inatenganisha vyumba vya kulala na sehemu za wageni, hivyo familia inapata utulivu.

Ni chaguo zuri kwa familia inayotaka nyumba ya kisasa ya ukubwa wa wastani, yenye paa la bati la mapaa kadhaa.

Umeipenda nyumba hii?

Pakua ramani yake yenye vipimo vya kila chumba, pamoja na picha zaidi za nje na ndani.

Pakua ramani yake

Ramani nyingine: VV-2 · 85 m² · VV-3 · 115 m² · VV-4 · 143 m² · VV-5 · 108 m²