← Ramani zote
Namba ya ramaniVV-4
Ramani ya nyumba ya vyumba vitatu VV-4
Vyumba 3 · Master · Baraza la mbele
143 m² · vyoo 2
1 / 2
Kuhusu ramani ya VV-4
VV-4 ni nyumba ya vyumba vitatu yenye eneo la takriban 143 m² na baraza la mbele. Ndiyo kubwa kuliko zote kwenye orodha yetu.
Chumba cha master kina bafu yake yenye bafu la kuogea (bathtub). Vyumba viwili vingine vina nafasi ya kitanda kikubwa. Sebule ni ndefu, takriban 4.6 × 7.1 m, na inaungana na dining na jiko lenye mlango wa nyuma. Kuna pia stoo, choo na bafu ya pamoja, na korido inayounganisha vyumba vya kulala.
Vipimo vya VV-4 hapa ni vya makadirio. Ramani kamili ndani ya PDF inaonyesha ukubwa wa kila chumba.
Umeipenda nyumba hii?
Pakua ramani yake yenye vipimo vya kila chumba, pamoja na picha zaidi za nje na ndani.
Ramani nyingine: VV-1 · 113.4 m² · VV-2 · 85 m² · VV-3 · 115 m² · VV-5 · 108 m²

