← Ramani zote
Namba ya ramaniVV-5
Ramani ya nyumba ya vyumba vitatu VV-5
Vyumba 3 · Master · Paa la hip
108 m² · vyoo 2
1 / 3
Kuhusu ramani ya VV-5
VV-5 ni ramani ya nyumba ya vyumba vitatu yenye eneo la 108 m² (mita 12 × 9). Umbo lake la mstatili na paa la hip vinaifanya iwe rahisi kujenga.
Mbele kuna sebule na dining kwa pamoja (6 × 4.5 m), jiko na chumba cha tatu. Korido inapita katikati ya nyumba na kuunganisha chumba cha master, chumba cha pili na vyoo viwili vilivyo upande wa nyuma.
Umeipenda nyumba hii?
Pakua ramani yake yenye vipimo vya kila chumba, pamoja na picha zaidi za nje na ndani.
Ramani nyingine: VV-1 · 113.4 m² · VV-2 · 85 m² · VV-3 · 115 m² · VV-4 · 143 m²