← Ramani zote
Namba ya ramaniVV-3
Ramani ya nyumba ya vyumba vitatu VV-3
Vyumba 3 · Ya kisasa · Umbo la L
115 m² · vyoo 2
1 / 3
Kuhusu ramani ya VV-3
VV-3 ni ramani ya kisasa ya nyumba ya vyumba vitatu yenye umbo la L na eneo la 115 m² (mita 14 × 10). Paa la upande mmoja linaipa nyumba mwonekano wa kisasa.
Sebule kubwa ya 6 × 5 m iko mbele pamoja na jiko lililo wazi kwa dining. Chumba cha master kina kabati na choo chake. Vyumba viwili vingine viko upande wa nyuma, karibu na choo cha pamoja na stoo. Kona ya umbo la L ina baraza la 5 × 5 m, zuri kwa kupumzika jioni.
Umeipenda nyumba hii?
Pakua ramani yake yenye vipimo vya kila chumba, pamoja na picha zaidi za nje na ndani.
Ramani nyingine: VV-1 · 113.4 m² · VV-2 · 85 m² · VV-4 · 143 m² · VV-5 · 108 m²