Chagua Ramani
← Ramani zote
Namba ya ramaniVV-2

Ramani ya nyumba ya vyumba vitatu VV-2

Vyumba 3 · Nyumba ndogo

85 m² · vyoo 2

Nyumba ya vyumba vitatu VV-2, kona ya mbele
Kona ya mbele
VV-2, mbele
Mbele
VV-2, upande
Upande
1 / 3

Kuhusu ramani ya VV-2

VV-2 ni ramani ya nyumba ndogo ya vyumba vitatu yenye eneo la 85 m² (mita 10 × 8.5). Inafaa kwa wanaoanza ujenzi kwa bajeti ndogo.

Upande wa mbele kuna sebule, jiko na chumba kimoja cha kulala. Korido inaunganisha upande wa nyuma wenye chumba cha master, chumba cha pili na vyoo viwili. Umbo lake la mstatili na paa la pembe mbili ni rahisi kujenga.

Umeipenda nyumba hii?

Pakua ramani yake yenye vipimo vya kila chumba, pamoja na picha zaidi za nje na ndani.

Pakua ramani yake

Ramani nyingine: VV-1 · 113.4 m² · VV-3 · 115 m² · VV-4 · 143 m² · VV-5 · 108 m²